UJUZI KWA AJILI YA VIJANA WANAOTAFUTA KAZI
- Sehemu hii itaendelea kukusaidia uweze kujenga ujuzi kwa ajili ya mafanikio katika eneo la kazi.
- Lakini pia ujuzi huu utakusaidia katika maisha yako binafsi.
- Utaweza kufanya kwa vitendo ujuzi huu pamoja na rafiki au jamaa yako.
- Wataalamu wanaochangia katika hij sehemu wanaongoza katika kutathimini na kuebdeleza watu katika Taasisi mbali mbali duniani kote.
- Sehemu hii itaenda na wakati kila mara kwa kuwekewa dondoo mpya na maeneo mapya ya ujuzi. Endelea kuja ili uone mapya.
- Kikapu cha kwanza chenye nyenzo muhimu za awali zitakusaidia unavyoingia kazini kwa mara ya kwanza na kukufanya mwenye mafanikio katika taaluma/kazi yako.
- Unaweza kufanya na kuwa mshindi katika maeneo yafuatayo:
- Kutabasamu
- Tabia
- Mawasiliano yasiyo ya maneno Sauti
- Matumizi ya maswali
- Kusikiliza
- Furahia kujifunza na mtu mwingine!